IJUMAA KUU NJEMA

ISAYA 53:5

BALI ALIJERUHIWA KWA MAKOSA YETU, ALICHUBULIWA KWA MAOVU YETU;ADHABU YA AMANI YETU ILIKUWA JUU YAKE, NA KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA!