TUNAKUTAKIA HERI YA PASAKA

Luka 24:6-7

Hayuko hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya, akisema , imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi mwa wenye dhambi, na kusulubiwa , na kufufuka siku ya tatu.