All Events
30
May
2026MAADHIMISHO YA SIKU YA CCT MKOA WA KILIMANJARO
Neno Kuu: (Habakuki 3:2) “Ee Bwana nimesikia habari zako, nami naogopa; Ee Bwana fufua kazi yako katikati ya miaka; katikati ya miaka tangaza habari yake; Katikati ya ghadhabu kumbuka rehema”
- 10:56 - 10:56
- KKKT DAYOSISI YA PARE- KANISA KUU SAME
17
May
2026JUMA LA PENTEKOSTE 2026
NENO KUU: Mathayo 26:41 “Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni….”
- 03:00 - 10:56 (May 24, 2026)
- SHARIKA ZOTE ZA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI
20
Jun
2026KKKT MARATHON
Kimbia kwa moyo, saidia kwa upendo.
- 06:00 - 13:00
- Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium - Arusha
Upcoming Events
No Events Available
