Mkuu wa Jimbo
Mch. Calvin Enock Koola
Mawasiliano
Phone: 0764 751 670
Jimbo la Kilimanjaro Mashariki ni miongoni mwa majimbo matano (5) ya Dayosisi ya Kaskaini. Jimbo lina sharika 45 na katika sharika iko mitaa 100 yenye makanisa madogo madogo yanayowezesha washirika wetu kufika kwa wepesi kanisani kuabudu hasa wazee na watoto. Sharika za Jimbo zipo katika Wilaya ya Moshi Vijijini na Wilaya ya Rombo.
Washirika
Takwimu za sharika mwaka 2018 zinaonyesha kuwa Jimbo lina idadi ya watu wazima 34,651, wakiwemo wanaume 15,271 na wanawake 19,380 na watoto 24,085