Central District

Mkuu wa Jimbo

Mch. Javason Nelson Mrema

Anuani

Simu: 0767 884 325
Mkuu wa Jimbo

Simu: 0757 848 052
Katibu wa Jimbo

Wakuu wa Jimbo waliopita

Awamu ya Kwanza

  1. Mch. Joseph Ringo – Mkuu wa Jimbo
  2. Mch. Daniel Lyatuu – Mkuu wa Pili wa Jimbo

Awamu ya Pili

  1. Mch. Elingaya Saria – Mkuu wa Jimbo
  2. Mch. Kennedy Kisanga – Mkuu wa Pili wa Jimbo

Awamu ya Tatu

  1. Mch. Kennedy Kisanga – Mkuu wa Jimbo
  2. Mch. Fred Njama – Mkuu wa Pili wa Jimbo

Awamu ya Nne

  1. Mch. Javason Mrema – Mkuu wa Jimbo
  2. Mch. Israel Moshi – Mkuu wa Pili wa Jimbo
home-kati

Jimbo la Kilimanjaro Kati lililo sehemu ya Dayosisi ya Kaskazini, lilianzishwa tarehe 1 Januari 1982, likitokea Jimbo la Kilimanjaro Mashariki. Makao makuu yalianzia Usharika wa Kiboriloni 1982 na kuhamia Mwereni – Majengo 1990.

Jimbo lilianza likiwa na sharika 12, hadi sasa Jimbo la Kilimanjaro Kati lina Sharika 34 zilizogawanyika katika kanda 7. Jimbo la Kilimanjaro Kati lina jumla ya washarika 59,878.

Taswira
Kuona wanajimbo wanamjua Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao na kujitoa kumtumikia Kristo na jamii (Udiakonia)

Dhamira
Kuitikia mwito Mkuu (Great comission) kwa kuitangaza Injili ya Yesu Kristo kwa maneno na vitendo kwa watu wote, ili wamkubali kama Bwana na Mwokozi kwa Msingi wa Kilutheri na kwa kuzingatioa Katiba ya Dayosisi ya Kaskazini.