KITUO CHA KILUTHERI CHA UHUSIANO NA MISIONI CHAJENGWA DAYOSISI YA IRINGA

Mkuu wa KKKT na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Blaston Gaville wa KKKT-Dayosisi ya Iringa (kushoto) na Katibu Mkuu wa Danish Lutheran Mission (DLM) Mch. Soren S. Sornsen (watatu kulia) mara baada ya Kuzindua kituo cha Kilutheri Cha Uhuisho na Misioni kilichojengwa katika Dayosisi hiyo kwa kushirikiana na DLM.

Kituo hicho kitatumika kwa watumishi wa Kanisa wa Kada zote kwa faragha, semina, mafunzo ya umisioni n.k