Mwalimu wa N.A., Kakundyo binti Mchg. Solomon wa Machame amejitoa kufundisha dini ya kikristo katika skuli ya N.A. Machame, bila ya kulipwa. Kanisa linamshukuru, na Mungu Baba azidi kufungua moyo na ufahamu wa kila mwalimu Mkristo katika wajibu wake wa kulea kiKristo roho changa za watoto wa skulini popote!
Gazeti la Umoja Februari 1949
Mpenzi Msomaji nitumie kirefu cha N.A
Idara ya Mawasiliano-Makavazi