Warsha ya Mpango Mkakati wa Dayosisi 2024-2028 ya Maofisa wa Dayosisi, Wadiri (Wakuu wa Idara), Wakuu wa Majimbo na Vituo vya Elimu, Uchumi, Afya na Huduma imefanyika imefanyika Uhuru Lutheran Hotel & Conference leo tarehe 16/11/2023.
Katika mpango huo kuna vipaombele 5 ambavyo ni pamoja na:
- Kuwa na ukuaji Endelevu
- Kuwa na ukuaji endelevu wa Kifedha na Kiuchumi
- Kuwa na Utawala Bora na Ufanisi wa Kiutendaji
- Kuwa na Huduma za Kijamii zilizo bora na zenye usawa
- Kuwa na Haki za Kimazingira, Kijamii, Kiuchumi na