Katibu wa Leipzig Mission Tanzania atembelea Ofisi Kuu DK

Katibu wa Leipzig Mission Tanzania kutoka Ujerumani Mchungaji Dkt. Daniel Keiling ametembelea Makao makuu ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini leo asubihi Septemba 27,2023.

Kwenye Picha aliyevaa koti ni Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Mhandisi Z.S. Moshi akipokea zawadi iliyotolewa na Mchungaji Daniel mwenye shati jeusi na kola nyeupe ya Kichungaji.