Kila la Heri katika Mitihani yenu Kidato cha Sita 2024.

KKKT Dayosisi ya Kaskazini inaungana na Watanzania wote, kuwatakia kila la heri Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Mitihani yao ya kuhitimu iliyoanza tarehe 06/05/2024. Mungu awatangulie.