Mkutano Mkuu wa 13 WA LWF

Ibada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF) ikiendelea katika mji wa Krakow-Poland ambapo baadhi ya viongozi kutoka KKKT wameshiriki akiwepo Mkuu wa Kanisa Askofu Dkt. Fredrick Shoo, Askofu Dkt. Mbilu, Katbu Mkuu wa KKKT Mhandisi Robert Kitundu n.k

Mkuu wa KKKT na Dayosisi ya Kaskazini (watatu kushoto) , Katibu Mkuu wa KKKT Mhandisi Robert Kitundu wa Kwanza kulia kwenye mkutano Mkuu wa 13 wa LWF nchini Poland