Category: Dayosisi

DIAKONIA WORLD ASSEMBLY IN TANZANIA

Africa Hosts First-Ever Diakonia World Assembly in Moshi, Tanzania – July 7–12, 2025 For the first time in history, the Diakonia World Assembly is taking place on African soil, with the city of Moshi, Tanzania, serving as the proud host of this landmark global gathering. Held under the inspiring theme “Dancing the Faith – Drumming […]

Read More

MAADHIMISHO CCT  YAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imefanya ibada ya maalumu ya madhimisho ya siku ya CCT mkoa wa Kilimanjaro  tarehe 8 Mei, 2025.  Kauli mbiu katika maadhimisho hayo ni neno la Mungu kutoka katika kitabu cha  Mithali 14:34 “Haki huinua taifa; bali dhambi ni aibu ya watu wowote” . Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mkoa wa Kilimanjaro, […]

Read More

 KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI KANDA YA KASKAZINI

Viongozi wa dini mbalimbali kanda ya Kaskazini (Interfaith Forum) wamekutana mkoani Singida tarehe 5.5.2025.  Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi wa dini  kutoka mikoa Tanga,Kilimanjaro, Arusha, Manyara, na Singida na ulikuwa na kauli mbiu “UPENDO HAKI NA AMANI “. Katika mkutano huo Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo alitoa wito kwa vyombo […]

Read More

Walimu 18 Wa Elimu Ya Afya Ya Msingi Waingizwa Kazini

Ofisi kuu ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Idara ya Afya Kitengo cha Afya ya Msingi, imeandaa semina ya siku tano ya kuwajengea uwezo waalimu 18 wa elimu ya afya ya msingi katika majimbo manne kuanzia tarehe 24-28.2.2025. Semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sun Marangu Retreat Center uliopo Marangu Moshi.  Walimu hao watahusika […]

Read More

UINJILISHAJI KWA NJIA YA PIKIPIKI

Mkuu wa Jimbo la Kilimanjaro Kati KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mch. Javason Mrema ameeleza jinsi uinjilishaji kwa njia ya pikipiki utakavyokuwa na manufaa. Mch. Mrema ameeleza hayo wakati akiongea na Umoja Daima Media kwenye Usharika wa Ngorika C uliopo KKKT Dayosisi ya Kaskazini Jimbo la Kilimanjaro Kati ambapo waliwapokea waendesha pikipiki kutoka Ujerumani waliofika kwa […]

Read More

SIKU YA ASKOFU NA WAALIMU

Askofu Dkt. Fredrick Shoo amekutana na walimu wa shule mbalimbali za kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini tarehe 01/02/2025 kwenye ukumbi wa Uhuru Lutheran Hotel. Kwenye mkutano huo wa Askofu na walimu, Askofu Dkt. Shoo amezitunuku tuzo, shule zilizofanya  vizuri kwenye matokeo ya mitihani, tuzo zingine zilizotolewa ni tuzo za mjongeo chanya. Aliongeza kuwa, japo […]

Read More

TRA KILIMANJARO YAIPONGEZA DK ULIPAJI MZURI WA KODI.

TRA mkoa wa Kilimanjaro imeipongeza KKKT Dayosisi ya Kaskazini kupitia taasisi zake kwa ulipaji mzuri wa kodi kwa mwaka 2024. Pongezi hizo ziliwasilishwa na Meneja wa TRA Mkoa wa Kilimanjaro Bw. James Jilala kwenye hafla ya mwisho wa mwaka ya Watumishi wa Dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika Uhuru Lutheran Hotel and Conference Center Disemba 20, 2024. […]

Read More

TAMASHA LA FUNGA MWAKA NA YESU 2024 LAFANA

Ni tamasha la pili la Funga Mwaka na Yesu tangu kuanzishwa kwa tamasha hili mwaka 2023. Lilifanyika siku ya Jumamosi tarehe 28 Disemba, 2024 katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi na kuhudhuriwa na Vijana wapato 9,458 wakike na wakiume. Tamasha hili ambalo ni maalumu kwa vijana, huwapa fursa ya kutafakari maisha yao ya […]

Read More

KKKT DK- MWENYEJI WA MKUTANO WA LMC

KKKT Dayosisi ya Kaskazini imekuwa mwenyeji wa mkutano wa (LMC) Shirika la Kimisionari la Kilutheri ambao hufanyika kila mwaka. Mwaka huu mkutano huo unafanyika  tarehe 01-04 Octoba, 2024 katika hoteli ya Uhuru iliyopo mjini Moshi- Kilimanjaro. Katika Mkutano huo mada kuu ni “KUJENGA AMANI KATIKA DUNIA YENYE CHANGAMOTO NYINGI”  Mathayo 5:9. Lutheran Mission Cooperation ni […]

Read More

KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI OFISI KUU IMEPOKEA WAGENI KUTOKA UJERUMANI

Katibu mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mhandisi Z.S Moshi amepokea wageni  kutoka Ujerumani walioambatana na wenyeji wao kutoka Jimbo la Kilimanjaro Kati. Wageni hao ambao wamezuru Dayosisi ya Kaskazini kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo pia wametembelea Idara na miradi mbalimbali ya Kanisa. Ofisi kuu ya Dayosisi ya Kaskazini kupitia Ndugu, Donald Massawe imetoa […]

Read More