Category: Dayosisi

MAADHIMISHO YA SIKU YA CCT

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeiomba serikali kuangalia suala la kodi kwa taasisi za dini zinazotoa huduma za Afya na elimu, kwani imekuwa changamoto na kupelekea Taasisi hizo kutoa huduma kwa kusuasua. Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Dk Fredrick Shoo amesema kilio cha kodi kwa taasisi hizo ni kikubwa na endapo hilo halitaangaliwa, litasababisha baadhi ya […]

Read More

UFUNGUZI WA JUMA LA PENTEKOSTE KKKT USHARIKA WA TARAKEA

Watumishi wa Mungu wametakiwa kulitangaza neno la Mungu kwa ufasaha ikiwa ni pamoja na kuwafundisha watu yaliyo kweli ili wasitangetange na kuanguka katika mikono ya wanyanganyi. Wito huo umetolewa na Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kaskazini Deogratius Msanya wakati alipokuwa akifungua juma la pentekoste iliyofanyika KKKT Jimbo la Kilimanjaro Mashariki, Usharika wa Tarakea wilaya ya […]

Read More

Dayosisi ya Kaskazini YouTube Channel

Dayosisi ya Kaskazini katika kutekeleza Maagizo ya Mkutano Mkuu wa 36 uliofanyika 18 Augusti 2020, kipekee yahusuyo Idara ya Mawasiliano, imeanzisha YouTube channel. Lengo kuu likiwa kuwahabarisha, kuwaelimisha na kuwaburudisha washarika na jamii kwa ujumla, hususan maswala ya yahusuyo misioni, elimu, afya, jinsia, tabianchi na uchumi.

Read More