Hayati Askofu Dkt. Erasto Kweka Azikwa kwa Heshima

Mazishi ya Hayati Askofu Dkt. Erasto N. Kweka yafanyika Machame mkoani Kilimanjaro katika Usharika wa Uswaa tarehe 06/12/2023

Maelfu ya waombolezaji wahudhuria ibada hiyo wakiwemo viongozi mbalimbali wa serikali, dini na wageni kutoka ndani na nje ya nchi.

Ibada ya Mazishi ya Hayati Askofu Erasto Kweka.