Category: Mawasiliano

Semina ya Watetezi Haki Yafanyika Umoja Lutheran Hostel

Semina ya watetezi haki za jinsia imefanyika Agosti 30, 2023 katika ukumbi wa mikutano Umoja Lutheran Hostel Moshi Mkoani Kilimanjaro ikihusisha maeneo mbalimbali ya vijiji  katika wilaya za Hai, Siha, Moshi Vijijini na Rombo. Semina hiyo imewezeshwa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini wakishirikiana na Dawati la Utetezi kutoka Makao Makuu ya Kanisa la Kiinjili la […]

Read More

Miaka 50 ya Sharika za Rombo

Mkuu wa Jimbo la Kilimanjaro Mashariki Mch. Calvin Koola ameongoza Ibada ya uzinduzi wa maadhumisho ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Sharika za Rombo, ambapo uzinduzi huo ulifanywa katika Usharika wa Rongai Agosti 20, 2023 Awali akihubiri katika ibada hiyo, Mch. Koola alimshukuru Mungu kwa sharika hizo kufikisha miaka 50 ukanda wa Rombo. Mch. Koola […]

Read More

Mkuu wa KKKT Afungua Semina ya PW Angaza

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo alifungua semina ya Wasaidizi wa Sharika (Parishworkers) ya Siku 3 iliyofanyika Katika kituo cha Wanawake Angaza Agosti 17-19, 2023. Akizungumza na Parish workers (PW) hao, Askofu Dkt. Shoo aliwataka kujiamini na kutokuwa na mashaka wanapofanya kazi ya Mungu […]

Read More

Mkutano Mkuu wa 21 wa KKKT

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa KKKT wametakiwa kuhakikisha wanaepukana na masuala ya rushwa katika uchaguzi mkuu wa kumpata Mkuu wa Kanisa hilo unaotarajiwa kufanyika Alhamis ya Agosti 24 , 2023.Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt Fredrick Onael Shoo, anayemaliza muda wake […]

Read More

Mkutano Mkuu wa 17 wa Wanahisa UCB Wafanyika

Mkutano Mkuu wa 17 wa Wanahisa wa Uchumi Commercial Bank (UCB) umefanyika Agosti 12, 2023 Uhuru Lutheran Hotel and Conference Centre. Akitoa taarifa yake  kwa wanahisa wa Uchumi Benki,  Meneja wa Benki hiyo CPA. Samwel Wado amesema mtazamo wa benki kwa sasa ni kukuza mtaji kufukia zaidi ya bilioni 15 ambapo ni kiwango cha chini […]

Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA CCT

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeiomba serikali kuangalia suala la kodi kwa taasisi za dini zinazotoa huduma za Afya na elimu, kwani imekuwa changamoto na kupelekea Taasisi hizo kutoa huduma kwa kusuasua. Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Dk Fredrick Shoo amesema kilio cha kodi kwa taasisi hizo ni kikubwa na endapo hilo halitaangaliwa, litasababisha baadhi ya […]

Read More

ASKOFU SHOO AWEKA WAKFU NYUMBA YA IBADA YA USHARIKA WA TPC NA MITAA YAKE

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo amewataka wakristo kulisoma neno la Mungu pamoja na kuliamini ili neema ya Mungu ikapate kuambatana na maisha yao. Askofu Shoo ameyasema hayo wakati alipokuwa akiweka wakfu nyumba ya ibada ya  Usharika wa Tpc na Mitaa yake miwili […]

Read More