MKUU wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Interfaith Mkoa wa Kilimanjaro- inayojumuisha viongozi wa dini ya Kikristo (CCT, TEC na TAG) na dini ya Kiislamu BAKWATA; amefungua warsha ya kuwajengea uwezo viongozi wa dini Mkoa wa Kilimanjaro kuhusu masuala ya kodi. Akifungua warsha hiyo ya siku […]
Read MoreRais wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani ( Lutheran World Federation-LWF) Askofu Henrik Stubkjaer amekuwepo nchini Tanzania kwa ziara ya siku 3 akitembelea Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Ziara hii ni ya kwanza tangu kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa LWF mwezi Septemba, 2023 katika Mkutano wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani […]
Read MoreMsaidizi wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mch. Elingaya Saria (Mstaafu), amesema hatupaswi kuwapuuza wanawake kwani wanawake wanamchango mkubwa katika jamii. Mch. Saria aliyasema hayo katika ibada ya siku ya kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo katika Usharika wa Sembeti Jimbo la Kilimanjaro Mashariki Machi 31, 2024. Akizungumza katika salam zake za Pasaka, alisesema wanawake […]
Read MoreMTAWA wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Woinde Nkya, aibuka kidedea katika tuzo za wanawake wa Tanzania, wenye mchango mkubwa katika jamii.Woinde, anayefanya kazi katika Kitengo cha Building a Caring Community (BCC) kilichoko chini ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini aliibuka kinara wa tuzo hiyo siku chache zilizopita, baada ya kuingia katika kinyan’ganyiro hicho […]
Read MoreMKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (Mstaafu) ambaye ni Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo, amefungua na kuweka wakfu Kanisa jipya la Usharika wa Siha Sango la KKKT Dayosisi ya Kaskazini Jimbo la Siha Machi 10, 2024. Ujenzi wa Kanisa hilo ulianza mwaka 2001 na hadi kukamilika umegharimu kiasi […]
Read MoreAskofu wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini Dkt. Fredrick Shoo, amezindua mtaa wa Ebenezer katika Usharika wa Bashay Jimbo la Karatu, ni mara baada ya washarika hao kukaa katika jengo dogo la Kanisa zaidi ya miaka kumi. Mapema wiki hii Askofu Dkt. Shoo wakati akizundua mtaa huo, ameshangazwa na jinsi ambavyo Wakristo […]
Read MoreKanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini ina Kitengo kinachohudumia watoto wenye ulemavu wa akili. Kitengo hicho kinaitwa Building a Caring Community (BCC). BCC ina marafiki ambao hufanya nao kazi pamoja. Mosaic International ni mshirika mkuu na rafiki wa BCC. Wana programu inayoitwa Carman International Fellowship, ambapo kupitia programu hiyo hutuma mfanyakazi mmoja […]
Read MoreRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema, serikali itaendelea kuimarisha huduma za ustawi wa jamii na kushirikiana na wadau wengine kuhakikisha huduma hizo zinapatikana.Rais Samia ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuingizwa kazini kwa Askofu Dkt Alex Gehaz Malasusa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) iliyofanyika […]
Read More“Vijana wa Yesu mnaoadhimisha FUNGA MWAKA NA YESU mwaka huu niwaombe, niwasihi, mtunze dhamana, mtunze fahari ya ujana wenu muonekane watu wenye moyo safi na watu wa dhamiri njema, watu wa imani isiyo na unafiki. Ni vyema vijana mkaacha yale yote ambayo yanawafanya mkakumbatia unajisi, muanze mwaka 2024 mkiwa na mioyo safi ” Hayo aliyasema […]
Read MoreMkuu wa KKKT na Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo aliongoza kikao cha Wanadayosisi waliopo Safarini (Diaspora) Disemba 27, 2023 Uhuru Lutheran Hotel& Conference Centre kikao ambacho hufanyika kila mwisho wa mwaka kujadili masuala mbalimbali yahusuyo maendeleo ya Dayosisi. Sambamba na kikao hicho, alizindua rasmi gazeti la kila wiki la Umoja Daima ambalo […]
Read More